Join us for the online launch of the 87th edition of our Humanitarian Exchange magazine in English, Arabic and Swahili.

Over the past year, HPN has worked with partner networks and practitioners across South Asia, East Africa, and the Middle East and North Africa to document experiences of local humanitarian leadership through the voices of local actors.

Humanitarian Exchange 87 brings together articles examining local initiatives and the structural issues shaping local leadership, alongside case studies and experiences from Bangladesh, Indonesia, Kenya, Palestine, Syria, Thailand and Türkiye. This virtual event will assemble our partner networks and contributing authors to discuss these experiences, what enables local leadership in practice, and the barriers that continue to stand in its way.

Join the conversation online on Monday 7 September at 11:00–12:30 (GMT+3)/9:00–10:30 (BST). Interpretation will be available in English, Arabic, French, Swahili and Burmese. RSVP now.


Katika mwaka uliopita, HPN imefanya kazi na miungano ya wabia pamoja na watendaji kote Kusini mwa Asia, Afrika Mashariki, na Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini ili kuweka kumbukumbu za uzoefu wa uongozi wa kibinadamu wa ndani kupitia sauti za wahusika wa ndani. Toleo la 87 la Humanitarian Exchange linakusanya makala yanayochunguza mipango ya ndani na masuala ya kimuundo yanayobadilisha uongozi wa ndani, pamoja na tafiti za mifano na uzoefu kutoka Bangladeshi, Indonesia, Kenya, Palestina, Syria, Thailand na Uturuki.

Hafla hii ya mtandaoni itawaleta pamoja wabia wetu na wachangiaji ili kujadili uzoefu huu, masuala yanayowezesha uongozi wa ndani kivitendo, na vizingiti vinavyoendelea kuwakumba.

Jiunge na mazungumzo haya mtandaoni Jumatatu tarehe 7 Septemba saa 11.00 hadi 12.30 (GMT+3)/9:00–10:30 (BST). Ukalimani utakuwepo katika lugha ya Kiingereza, Kiarabu, Kifaransa, Kiswahili na Kiburma. Jisajili sasa.


على مدار العام الماضي، عملت شبكة الخبراء و الخبيرات في القطاع الإنساني مع تحالفات من الشركاء والممارسين في

جنوب آسيا وشرق أفريقيا ومنطقة الشرق الأوسط وشمال أفريقيا، لتوثيق تجارب القيادة الإنسانية المحلية من خلال أصوات الفاعلين المحليين. ويجمع العدد

87 من مجلة التبادل الإنساني مقالات تبحث في المبادرات المحلية والقضايا الهيكلية التي تعيد تشكيل القيادة المحلية، إلى جانب دراسات حالة وتجارب من بنغلاديش وإندونيسيا وكينيا وفلسطين وسوريا وتايلاند وتركيا.مجلة التبادل الإنساني 87

ستجمع هذه الفعالية الافتراضية شركاءنا والمساهمين في العدد من أجل مناقشة هذه التجارب والعوامل التي تمكّن القيادة المحلية عملياً، إضافة إلى العوائق المستمرة التي تواجهها.

انضموا إلى الحوار عبر الإنترنت يوم الاثنين 7 سبتمبر/أيلول، من الساعة 11:00 إلى 12:30 (GMT+3) / 9:00–10:30 (BST). ستتوفّر الترجمة الفورية باللغات الإنجليزية والعربية، والفرنسية والسواحيلية والبورمية. سجّلوا الآن.